Hey vijana ni nyakati sasa imefika kwa vijana kumuelekea MUNGU ni wajibu wa kila ajijuae kijana sasa kuweza kubadili mwenendo wake nyakati hii
Sisi kama vijana tunahitaji kuwa na umoja wa wenyewe kwanza ndipo kuweza kuleta maendeleo ya LENGO
Sema na Mwenzio sasa.. LETS BRING THE WORD TO GOD.
Lets as follow the true WAY OF JESUS CHRIST.






